Jinsi ya Kujiunga na Meridianbet Tanzania

JINSI YA KUJIUNGA NA MERIDIANBET TANZANIA

Meridianbet ni kampuni bora inayoongoza Tanzania kwa katika mchezo huu wa kubashiri (betting) ama kwa jina lingine maarufu kama mikeka. Kampuni hii kwa sasa inayo maduka yake (bet shops) sehemu mbalimbali ndani ya Tanzania na wanaongoza kwa kutoa huduma zilizo bora na za uhakika. Pia hata katika huduma zao kwa njia ya mtandao (online betting) ni za kiwango cha kuridhisha wakiwa na chaguzi nyingi (options) na odds za kuridhisha. Pia unaweza kubet kwa kiwango cha chini kuanzia hata kiasi cha Tshs. 100 na pia wanazo njia nyingi za kuweka na kutoa pesa katika account yako.
Kama hujaweza kujiunga na Meridianbet fuata maelekezo haya hapa chini uweze kujiunga na kucheza na kushinda huku ukifurahia huduma zao bomba.

HATUA YA 1
Fungua tovuti ya Meridianbet kwa kubofya hapa MERIDIANBET TANZANIA na kisha ubofye sehemu iliyoandikwa register au jisajili kama utakuwa umechagua lugha ya kiswahili



  • Chagua lugha hapa



HATUA YA 2
Baada ya kuwa umebofya register au jisajili itafunguka fomu ambayo utajaza taarifa zako kisha utabofya register au jisajili kundelea na hatua itakayofuatia na katika fomu hii utajaza vitu vifuatavyo

  1. Namba ya simu
  2. Password
  3. Tiki sehemu ya Promo code na kujaza code hiyo ambayo ni 1029
Pia kumbuka kutiki sehemu yenye kibox iliyoandikwa terms and conditions kuonyesha kuwa umekubaliana na masharti ya Meridianbet



HATUA YA 3
Utatumiwa verification code (namba ya uthibitisho) katika namba yako ya simu uliyoandika.


HATUA YA 4
Login (Ingia) katika akaunti ya meridianbet kwa kuweka username ambayo ni namba yako ya simu uliyotumia kujisajili kwa kuanza na code 255xxxxx kisha weka password (neno la siri) uliyochagua kisha bonyeza login au ingia.


HATUA YA 5
Akaunti yako itafunguka na kukutaka kuweka verification code (namba ya uthibitisho) uliyotumiwa kwenye simu yako kisha bonyeza kuithibitisha au kuiverify.


Akaunti yao itakuwa tayari unaweza kuweka kuanzia 5000 ili upate bonasi na kucheza michezo mbalimbali na kufurahia ushindi.

Post a Comment

Previous Post Next Post