Mkeka wa Leo 12 September 2024: Dinamo Minsk Kushinda Dhidi ya Gomel

 
Dinamo Minsk itakuwa mwenyeji wa FC Gomel Alhamisi, Agosti 12, katika mechi ya kusisimua ya Ligi ya Belarus. Dinamo Minsk ina historia nzuri ya kutawala katika wakutanapo na Gomel, na wanatarajia kuendeleza mfululizo wao wa ushindi dhidi ya Gomel.

Pamoja na ubora walionao, Dinamo Minsk wana faida ya kuchezea uwanja wa nyumbani, na wamethibitisha ubora wao huo kwa miaka ya hivi karibuni. Uwezo wao wa kujilinda umekuwa wa kuvutia sana, huku wakiwa na safu imara ya ushambuliaji pia.

Rekodi ya jumla katika mechi zote zilizozikutanisha timu hizi inawapendelea sana Dinamo Minsk, wakiwa wameshinda mara 42, sare 8 na kupoteza mara 14.

Dinamo Minsk pia wamekuwa katika fomu nzuri, wakishinda mechi zao tano za mwisho katika Vysshaya Liga. Ingawa safari yao katika mashindano ya Ulaya haikuwa na mafanikio, wanatarajiwa kufanya vizuri kwenye ligi ya ndani.

FC Gomel pia wamekuwa na kiwango kizuri siku za hivi karibuni, wakishinda mechi mbili na kupata sare moja katika mechi zao tatu za mwisho za ligi. Hata hivyo, Dinamo Minsk ni maji mazito kwao kuyaogelea.

Takwimu Muhimu:

*Dinamo Minsk wanaongoza kwa alama saba dhidi ya FC Gomel kwenye msimamo, licha ya kuwa nyuma kwa mechi nne pia.

*Mechi mbili za mwisho kuzikutanisha timu hizi imekuwa chini ya jumla ya magoli 2.5.

Ubashiri wetu leo katika mechi hii Dinamo Minsk kushinda.

Angalia mkeka zaidi hapa chini

MATOKEO NDANI YA DAKIKA 90

⚽Wolverhampton U21 - Huddersfield Town U21: 1✅

⚽23 Elazig - 12 Bingolspor: 1✅

⚽TPS – JIPPO: 1

⚽Ponnistajat – TuPS: 2

⚽NoPS – ACE: 1✅

⚽Rosenborg - Arna-Bjornar: 1✅


JUU/CHINI [OVER/UNDER]

⚽Harrogate Town - Doncaster Rovers: Over 1.5✅

⚽JaPS II – MyPa: Over 1.5

⚽Hilden – Schonnebeck: Over 2.5✅

⚽Rosenborg - Arna-Bjornar: Over 1.5✅

⚽PSBS Biak Numfor – Persija: Over 1.5✅


Post a Comment

Previous Post Next Post