Mkeka wa Leo Tarehe 22 Julai 2024: Mpe Inter Milan Ashinde Dhidi ya Pergolettese


Ni siku ya Jumatatu ya tarehe 22 Julai 2024 na ni nafasi muhimu kubetia katika mechi mbali mbali za kirafiki na zile za kimashindano. Katika mechi za kirafiki, Inter Milan watakipiga na Pergolettese, huku Al Hilal wakicheza na Al Arabi.

Huu hapa utabiri wetu katika mechi hizo pamoja na nyingine nyingi:

Soko la 1X2 (Home/Draw/Away)

● Inter Milan v Pergolettese (1) ✅
● Al Hilal v Al Arabi (1) ✅
● Lyngby v Copenhagen (2) ✅
● Fram v Valur (2) ❎Imeahirishwa
● Metta – Tukums 2000 (1X) ✅



BTTS/GG (Wote Wafunge)

● Gais v AIK (Yes) ❌
● Pari NN v Rubin Kazan (Yes) ✅



Soko la Magoli

● Hebar – S. Varna (Chini ya 3.5) ✅
● Stal M. – W. Lodz (Juu ya 1.5) ✅
● Otelul – Farul C. (Chini ya 3.5) ✅
● GAIS – AIK Stockholm (Juu ya 1.5) ✅


Post a Comment

Previous Post Next Post