Mkeka wa Leo Tarehe 23 Julai 2024: Wape Ushindi Bodo/Glimt na Qarabag Mechi za Klabu Bingwa Ulaya


Mabingwa wa Norway, Bodo/Glimt, wanaanza safari yao ya Klabu Bingwa Ulaya siku ya leo, Jumanne, dhidi ya Rigas Futbola Skola (RFS) kutoka Latvia. Mechi hii ya kufuzu Klabu Bingwa Ulaya inatazamiwa kuwa ya kuvutia kulingana na viwango vya timu zote mbili.

Bodo/Glimt, chini ya kocha Kjetil Knutsen, wanatamani sana kufanya makubwa katika Klabu Bingwa Ulaya na wapo kwenye kiwango bora sana kipindi hiki lakini bado hawajaweza kufikia hatua ya makundi. Wapinzani wao, Rigas Futbola Skola, pia si wanyonge. Mabingwa hao wa Latvia wapo kwenye rekodi ya kushinda mechi saba mfululizo kabla ya hii ya leo na wamefika hatua hii baada ya kuwatoa mashindanoni Larne ya Ireland katika hatua ya mchujo ya kwanza kwa ushindi wa jumla wa magoli 7-0 katika mechi mbili.

Bodo/Glimt wanapewa nafasi kubwa ya kushinda, lakini rekodi ya ushindi wa Rigas Futbola Skola haiwezi kupuuzwa. Mechi ya marudiano itakuwa muhimu kuamua ni nani atakayesonga mbele kwenye mashindano.

Mechi nyingine katika mashindano hayo ya kufuzu Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) ni pamoja na Lincoln v Qarabag, FK Penevezys v Jagielonia, Malmo FF v Klaskvik na nyingine nyingi. Huu hapa utabiri wetu katika mechi hizo na nyinginezo katika mashindano hayo na mengine:

Soko la 1X2 (Home/Draw/Away)

● Bodo G. v RFS (1) ✅
● FK Penevezys v Jagiellonia (2X) ✅
● Lincoln – Qarabag (2) ✅
● APOEL – Petrocub (1X) ✅
● Malmo FF – Klaksvik (1) ✅
● Ferencvaros – TNS (1) ✅


Soko la Magoli (Juu ya/Pungufu ya)

● FCSB – M. Tel Aviv (Juu ya 1.5) ✅
● Differdange – Ordabasy (Chini ya 3.5) ✅
● UE Santa C. – Midtjylland (Juu ya 1.5) ✅
● Lugano – Fenerbahce (Juu ya 1.5) ✅



Post a Comment

Previous Post Next Post