Mabingwa wa ligi ya Ubelgiji, Club Brugge, wataanza kampeni ya kutetea ubungwa wao dhidi ya Mechelen leo Ijumaa katika uwanja wa Jan Breyden katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Ubelgiji msimu wa 2024-25.
Club Brugge wakiwa ndio mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Ubelgiji wakiwa wametoka kushinda kombe lao la 19 la ligi, watataka kuhakikisha wanakuwa na mwanzo mzuri wa kutetea taji hilo, ingawaje matokeo yao katika mechi za maandalizi ya msimu hayajawa ya kuridhisha sana.
Mechelen wao walimaliza msimu uliopita wakiwa nafasi ya nane kwenye msimamo, walionesha kiwango bora katika michezo ya maandalizi ya msimu na watatamani kufanya vizuri katika mchezo wa kwanza ili iwape hali ya kujiamini kuelekea msimu huu mpya wa ligi lakini ni wazi kwamba watakuwa na wakati mgumu kupata matokeo dhidi ya bingwa mtetezi.
Soko la 1X2 (Home/Draw/Away)
● Club Brugge – KV Mechelen (1) ❌
● Narva – Nomme Utd (1) ✅
● Banga – Kauno Z (X2) ✅
● Lechia – Motor L. (1X) ❌
Soko la Magoli (Juu ya/Pungufu ya)
● Bohemians – Dundalk (Chini ya 3.5) ✅
● Nafta – Radomlje (Chini ya 3.5) ✅
● Sonderjyske – Lyngby (Juu ya 1.5) ✅
Post a Comment