Ubashiri wa Leo 31 Julai 2024: RFS - Bodo Tupa Kete Yako Kwa Bodo


Mchezo wa mchujo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya RFS na Bodo na watakutana katika uwanja wa LNK Sports Parks Jumatano mchana. RFS walipata kichapo kikali cha 4-0 nchini Norway, maana yake wanakabiliwa na kazi ngumu katika mchezo huu wa marudiano. Mshambuliaji wa Ivory Coast, Cedric Kouadio, anarajiwa kuanza, huku Emerson Deocleciano akitarajiwa kuanzia benchi.

Kwa upande mwingine, Bodo wao tayari wametanguliza mguu mmoja katika raundi ya tatu baada ya kuichapa RFS huko Aspyra Stadion, lakini hawawezi kujisahau katika mchezo huu wa marudiano kwani RFS watafanya kila liwezekanalo kupata matokeo katika mchezo huu. Mchezaji wa kuangaliwa katika timu ya ugenini atakuwa August Mikkelsen, aliyeifungia magoli mawili katika mchezo wa kwanza, huku Elabdelloui, Espejord, Skeide, Sorli, na Vetti wakiendelea na matibabu. Pamoja na yote hayo ushindi kwa wageni linatazamiwa kuwa jambo la lazima kwani Bodo ni timu imara zaidi kuliko RFS.

Angalia mkeka wa leo hapa chini


MATOKEO NDANI YA DAKIKA 90

MUDA

MECHI

CHAGUA

MATOKEO

20:00

RFS - Bodo/Glimt

2

Won

21:30

Jagiellonia - FK Panevezys

1

Won

22:00

FK BB Luka - PAOK

1

Lost

18:00

FK Auda Riga - Cliftonville FK

1X

Won

18:00

Fehervar FC - Sumgayit

1X

Won

 

Weka Dau Hapa

 

JUU/CHINI [OVER/UNDER]

MUDA

MECHI

CHAGUA

MATOKEO

20:15

FC Midtjylland - UE Santa Coloma

Over 2.5

Lost

21:00

Maccab Tel Aviv - FCSB

Under 3.5

Won

20:00

Hacken - Dudelange

Over 1.5

Won

 

Weka Dau Hapa

 

KAMA BADO HUJAJIUNGA NA MERIDIANBET BOFYA HAPA KUJIUNGA

TUMIA PROMOCODE 1029 KUPATA BONUS

====MAELEKEZO JINSI YA KUJIUNGA BOFYA HAPA ====

 

Post a Comment

Previous Post Next Post