Je! Ungependa Ijumaa yako ya leo iwe yenye bahati? Meridianbet wanakuhakikishia hilo. Meridianbet wanakupatia promosheni matata inayoitwa " Ijumaa ya Bahati".
Ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet na ucheze mchezo wa nambari za bahati, iwe Lucky 6 au Keno, na siku ya Jumamosi utapokea cashback ya kushangaza ya 10% kutoka kwenye jumla ya kiasi ulichotumia. Unasubiri nini sasa hii siyo ya kukosa.
Sheria za Promosheni:
- Promosheni hii inapatikana kwa wachezaji wote waliojiandikisha kwenye tovuti na programu ya simu ya meridianbet.co.tz.
- Promosheni inaanza tarehe 19.05.2023 na itafanyika kila Ijumaa hadi mwisho utakapotangazwa na mwendeshaji.
- Michezo inayoshiriki ni Lucky 6, na nambari za Keno.
- Cashback itawekwa kwenye akaunti yako kila Jumamosi kabla ya saa 11 asubuhi.
- Malipo ya chini ya tiketi yanayotakiwa ni TZS 500.
- Unaweza kupata bonus ya juu ya TZS 25,000 kwa kila kipindi cha mahesabu (Mwisho wa wiki).
- Tafadhali kumbuka kuwa tiketi zilizochezwa kwa kutumia pesa za bonus hazistahiki kwa promosheni hii.
- Kiasi cha cashback kinahesabiwa kama 10% ya hasara yako yote wakati wa kipindi cha Mwisho wa wiki.
- Hasara jumla inahesabiwa kwa kutoa ushindi wako jumla kutoka kwenye dau lako jumla kwenye tiketi zote zinazostahiki.
- Kanuni za jumla za mwendeshaji zinatumika.
- Mwendeshaji anahifadhi haki ya kumaliza promosheni wakati wowote kabla ya tarehe ya mwisho iliyopangwa.
- Usipitwe na fursa hii ya kushangaza! Jiunge nasi kila Ijumaa ya Bahati na ugeuze wikendi yako kuwa yenye thamani zaidi.
Post a Comment