Mchezo wa marudiano wa playoff ya Ligi ya Mabingwa kati ya Galatasaray na Young Boys unatarajiwa kuwa wa kusisimua leo Jumanne. Licha ya uongozi mdogo magoli 3-2 wa Young Boys katika mchezo uliopita, bado Galatasaray wanatarajiwa kushinda mechi hii.
Young Boys walipata ushindi wao katika mchezo wa kwanza kwa kuonesho mchezo mzuri na waliongoza mechi hiyo muda mrefu kwa magoli 3-1 kabla Galatasaray hawajabahatika kupunguza magoli hayo kupitia bao la mwisho la mshambuliaji wa zamani wa Liverpool Michy Batshuayi.
Kabla ya mchezo wa kwanza, Young Boys walikuwa katika wakati mgumu, wakiwa hawajashinda katika mechi tano za Ligi ya Swiss msimu wa 2024/25.
Mazingira katika jiji la Istanbul yatakuwa ya kusisimua kwani mabingwa hao wa Kituruki wameshinda mechi 26 kati ya mechi zao 31 za nyumbani na wanatarajiwa kushindaa, kutokana na uwezo wao mzuri wa kushambulia.
Utabiri wetu katika mchezo huu ni kwa Galatasaray kushinda huku Michy Batshuayi, ambaye alifunga mabao mawili katika mchezo wa kwanza, akitazamiwa kuibeba vema timu yake hiyo.
Takwimu Muhimu:
⚽Mechi ya kwanza kati ya wababe hawa ilishuhudia magoli matano yakifungwa huku kila timu ikifunga angalau mara mbili.
⚽Magoli angalau matatu yamefungwa katika michezo 10 iliyopita ya Galatasaray, huku idadi hiyo ya magoli ikifungwa katika michezo 8 iliyopita ya Young Boys.
⚽GG imetokea kwenye mechi 8 kati ya 10 za Galatasaray zilizopita, huku ikitokea mara 6 katika 8 za Young Boys.
⚽GG imetokea katika mechi mbili za mwisho zilizozikutanisha timu hizi.
Ubashiri wetu leo tunazipa timu zote kupata goli GG/BTTS Yes
Angalia mkeka zaidi hapa chini
MUDA |
MECHI |
CHAGUA |
MATOKEO |
21:45 |
Grimsby - Sheffield Wed |
2 |
Won |
22:00 |
Galatasaray -
Young Boys |
1 |
Lost |
22:00 |
Salzburg Dynamo Kyiv |
1 |
Lost |
22:30 |
Rayo Vallecano - Barcelona |
2 |
Won |
21:45 |
Preussen Munster - Stuttgart |
2 |
Won |
21:45 |
Everton - Doncaster |
1 |
Won |
===>WEKA DAU HAPA
TIMU ZOTE KUPATA GOLI [BTTS/GG] |
|||
MUDA |
MECHI |
CHAGUA |
MATOKEO |
22:00 |
Galatasaray - Young Boys |
GG |
Lost |
20:00 |
Mallorca -
Sevilla |
GG |
Lost |
21:45 |
Watford - Plymouth |
GG |
Lost |
===>WEKA DAU HAPA
JUU/CHINI [OVER/UNDER] |
|||
MUDA |
MECHI |
CHAGUA |
MATOKEO |
22:00 |
Sparta Prague - Malmo |
Over 1.5 |
Won |
22:00 |
Galatasaray -
Young Boys |
Over 2.5 |
Lost |
21:00 |
AC Reggiana - Brescia |
Under 3.5 |
Won |
21:30 |
Frosinone - Modena |
Under 3.5 |
Won |
===>WEKA DAU HAPA
KAMA BADO HUJAJIUNGA NA MERIDIANBET BOFYA HAPA KUJIUNGA
Post a Comment