⚽Grazer AK na Red Bull Salzburg watakutana katika mchezo wa ufunguzi wa msimu wa 2024-25 wa Ligi Kuu ya Austria kwenye Uwanja wa Merkur siku ya Ijumaa.
⚽Wenyeji, Grazer AK walipanda daraja hadi ligi kuu baada ya kuwa mabingwa wa Ligi ya Pili ya Austria msimu wa 2023-24 wakitimiza ndoto yao ya miaka 17 iliyopita. Huku wageni Red Bull Salzburg wao wakilenga kurejesha ubingwa wa ligi kuu baada ya mfululizo wao wa ushindi wa miaka kumi kukomeshwa msimu uliopita.
⚽Meneja Gernot Messner, anayewaongoza Grazzer AK tangu mwaka 2021 atatamani kuanza ligi kwa nguvu lakini anakabiliwa na kazi ngumu dhidi ya mabingwa mara 17, RB Salzburg hivyo karata yetu tunaitupa kwa mgeni wa mchezo kuibuka na ushindi.
ANGALIA MIKEKA ZAIDI HAPA CHINI
MATOKEO NDANI YA
DAKIKA 90 |
|||
MUDA |
MECHI |
CHAGUA |
MATOKEO |
21:30 |
Grazer AK - FC Salzburg |
2 |
Won |
19:00 |
FK
Heber - Slavia Sofia |
2 |
Lost |
21:45 |
Union SG - Beerschot VA |
1 |
Won |
22:00 |
Dinamo Zagreb - Istra 1961 |
1 |
Won |
20:00 |
AGF Aarhus - Sonderjyske |
1X |
Won |
===>WEKA DAU HAPA
JUU/CHINI
[OVER/UNDER] |
|||
MUDA |
MECHI |
CHAGUA |
MATOKEO |
21:30 |
FC Koln - Humburger
SV |
Over
1.5 |
Won |
19:50 |
Gyor
- Debrecen |
Over
1.5 |
Won |
18:30 |
Banga - Suduva |
Over 1.5 |
Lost |
===>WEKA DAU HAPA
KAMA
BADO HUJAJIUNGA NA MERIDIANBET BOFYA HAPA KUJIUNGA
Post a Comment