Mkeka wa Leo 04 September 2024: Weka Dau Lako Kwa Tanzania Kushinda Dhidi ya Ethiopia

 
Kampeni ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 inaanza Jumatano kwa michezo kadhaa kuchezwa ikiwa ni; Comoro v Gambia, Libya v Rwanda na Sudan v Niger lakini mchezo unaotazamiwa kuvuta macho na masikio ya watu wengi yatakua katika Uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa ambapo utapigwa mchezo kati ya Tanzania na Ethiopia. Hii ni mechi ya kwanza ya hivi karibuni kuzikutanisha timu hizi tangu zilipokutana mara ya mwisho Novemba 2015, na timu zote mbili zinatamani kuwa na mwanzo mzuri katika Kundi H, ambalo pia linajumuisha timu za Guinea na DR Congo.

Tanzania ambayo ina kumbukumbu mbaya katika AFCON 2023 ambapo walishika mkia katika kundi F wakiwa na alama 2 tu wakifungwa 3-0 na Morocco kabla ya kupata sare mbili dhidi ya Zambia na DR Congo itakuwa inalenga kurudi na kufanya makubwa katika mashindano ya msimu huu. Licha ya changamoto zao za siku zote, Taifa Stars imeonesha ishara za maendeleo katika mechi zao za hivi karibuni ikiwa ni pamoja na ushindi dhidi ya Zambia katika michuano ya kufuzu Kombe la Dunia.

Ethiopia, kwa upande mwingine, pia inakabiliwa na changamoto kwani imeshindwa kufua dafu kwenye mashindano ya kufuzu Kombe la Dunia kwa kushindwa kupata ushindi hata mmoja katika michezo yote minne ya hatua ya makundi wakipata sare 3 na kufungwa mchezo mmoja.

Mchezo kati ya timu hizi mbili unatarajiwa kuwa wa ushindani mkubwa kwani timu zote mbili zinaundwa na wachezaji wenye vipaji vikubwa. Kikosi cha Tanzania kinajumuisha wachezaji wenye uzoefu kama Himid Mao na Novatus Miroshi, wakati kikosi cha Ethiopia kinajumuisha vipaji vikubwa kama Abel Dele na Abubeker NQasir.

Matokeo ya mchezo huu yatakuwa na athari kubwa kwa nafasi za timu zote mbili kufuzu AFCON 2025. Ushindi kwa upande wowote utawapatia nyongeza muhimu katika kampeni yao na kuwapa mtazamo chanya kisaikolojia kuelekea kuzikabili mechi zilizobaki.

Takwimu Muhimu:

💡Tanzania haijashinda katika mechi tatu za mwisho dhidi ya Ethiopia, mara yao ya mwisho kushinda ni mwaka 2006 waliposhinda 2-1 katika Kombe la CECAFA.

💡Ethiopia hawajapoteza mechi hata moja katika mechi zao rasmi tatu za mwisho huku wakipata sare mbili.

💡Tanzania pia haijafungwa katika mechi tatu rasmi za mwisho na kwa jumla imepoteza mara moja tu katika mechi tano za mwisho.

Ubashiri wetu leo katika mechi Tanzania Kushinda.

Angalia mikeka zaidi hapa chini

MATOKEO NDANI YA DAKIKA 90

⚽Tanzania – Ethiopia: 1

⚽TuS Hornau – FC Eddersheim: 2 

⚽Yokohama Marinos - Sapporo: 1 ✅

⚽Kawasaki Frontale – Ventforet Kofu: 1 

⚽FK Banga B - FK Tauras: 2 

⚽Brondby W - Fiorentina W: 2 

⚽Schalke 04 - NAC Breda: 1 


JUU/CHINI [OVER/UNDER]

⚽Kawasaki Frontale – Ventforet Kofu Over: 1.5 

⚽Tanzania – Ethiopia Under: 3.5 

⚽Eintracht Nordestedt – Hambuher II: Over 1.5 

⚽Blau-Weiss Lohne – Meppen Over: 1.5 

⚽Comoros - Gambia: Under 3.5 

⚽TSG Backnang - FSV Hollenbach: Over 1.5 



TIMU ZOTE KUPATA GOLI [GG/BTTS]

⚽Sudan - Niger: BTTS No ✅

⚽Lebanon - Tajikistan: BTTS No ✅

⚽CA Fenix - Villa San Carlos: BTTS Yes 

⚽TSV Steinbach II - VfB Marburg: BTTS Yes 


Post a Comment

Previous Post Next Post