Mkeka wa Leo 21 September 2024: Weka Dau Lako kwa Liverpool Kushinda Dhidi ya AFC Bournemouth

 
Leo Jumamosi Ligi Kuu ya Uingereza itaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa, moja ya mchezo utakaochukua umakini wa watu wengi ni ule unaowakutanisha Majogoo wa London, Liverpool, dhidi ya Bournemouth FC pale Anfield. Liverpool wanatarajia kudumisha rekodi yao imara ya ulinzi na kupata ushindi katika mechi hiyo ili kurejesha imani na shauku katika kikosi chao kufuatia kipigo walichokipokea wikendi iliyopita.

Kocha mpya Arne Slot alipokea zawadi ya siku yake ya kuzaliwa kwa kuwaongoza Liverpool kupata ushindi dhidi ya AC Milan katika Ligi ya Mabingwa mnamo September 17, Liverpool wakishinda 3-1 kwa magoli ya Ibrahima Konate, Virgil van Dijk na Dominik Szoboszlai, katika dimba la San Siro.

Licha ya kupoteza dhidi ya Nottingham Forest, Liverpool bado wako katika nafasi nne za juu kutokana na matokeo yao ya mechi zilizopita huku wakibebwa zaidi na rekodi yao ya ulinzi kwani mpaka sasa wameruhusu kufungwa goli moja tu katika michezo yote minne waliyocheza.

Bournemouth watakuwa wakitafuta ushindi wao wa pili katika ligi msimu huu, na mechi yao ya mwisho walipoteza katika uwanja wao wa nyumbani dhidi ya Chelsea kwa bao la dakika za jioni la Jadon Sancho.

Nyota mpya wa Liverpool, Federico Chiesa anatarajiwa kuanza katika mechi hiyo baada ya kutokea benchi katika mechi dhidi ya Milan. Alisson Becker bado ana changamoto ya misuli ya paja, na ni wazi kwamba Caoimhin Kelleher ataanza katika lango. Luis Diaz anatarajiwa kurejea katika kikosi cha kwanza, akimtoa Cody Gakpo.

Kwa upande wa Bournemouth: Tyler Adams ameondoka kikosini sababu ya tatizo la mgongo, wakati Dango Ouattara bado anakabiliwa na jeraha la kifundo cha mguu. Enes Unal anaweza kuanza hasa kutokana na kiwango kibovu kilichooneshwa na Evanilson wikendi

Takwimu Muhimu:

*Liverpool wameshinda 3-1 na 9-0 dhidi ya Bournemouth katika misimu miwili iliyopita.

*Bournemouth hawajawahi kushinda Anfield katika mashindano yoyote.

Ubashiri wetu leo katika mechi hii Liverpool kushinda

Angalia mkeka zaidi hapa chini

MATOKEO NDANI YA DAKIKA 90

⚽West Ham - Chelsea: X2 ✅

Liverpool - Bournemouth: 1 

Real Madrid - Espanyol: 1 

Werder Bremen - Bayern Munich: 2 

Lille - Strasbourg: 1

Reims - PSG: 2


JUU/CHINI [OVER/UNDER]

West Ham - Chelsea: Over 1.5 

Liverpool - Bournemouth: Over 2.5 

Tottenham - Brentford: Over 1.5 

Real Madrid - Espanyol: Over 2.5 

Eintracht Frankfurt - Borussia M’gladbach: Over 1.5 


Post a Comment

Previous Post Next Post