Mkeka wa Leo 09 October 2024: Weka Dau kwa Celtic Kushinda Dhidi ya Sligo Rovers

 
Klabu inayokipiga katika Ligi ya Ireland, Sligo Rovers, itakuwa mwenyeji wa mabingwa wa Scotland, Celtic, kwenye dimba la Showgrounds katika mechi ya kirafiki mnamo Oktoba 9, 2024.

Sligo iko katika nafasi ya sita kwenye ligi yao ya ndani ikiwa na alama 47 baada ya michezo 32, huku Celtic ikiongoza Ligi Kuu ya Scotland wakiwa wameshinda michezo yote saba hadi sasa.

Celtic wanaielekea mechi hii wakitoka kushinda 2-1 dhidi ya Ross County katika Ligi Kuu ya Scotland. Licha ya mafanikio hayo, walipoteza kwa mabao 7-1 dhidi ya Borussia Dortmund katika Ligi ya Mabingwa. Kocha Brendan Rodgers atatumia mechi hii ya kirafiki kufanya maandalizi ya mechi yao ya ligi dhidi ya Aberdeen mnamo Oktoba 19.

Celtic wanatarajiwa kuwa na nafasi kubwa ya kupata matokeo licha ya changamoto zao za hivi karibuni katika Ligi ya Mabingwa.

Takwimu Muhimu:

*Celtic wamefunga zaidi ya mabao 3.5 katika mechi tatu kati ya tano za mwisho kwenye mashindano yote.

*Celtic wameshinda mechi 14 kati ya 15 za mwisho kwenye mashindano yote.

Ubashiri wetu leo katika mechi hii ni Celtic Kushinda

Angalia mkeka zaidi hapa chini

MATOKEO NDANI YA DAKIKA 90

⚽Valerenga - Juventus W: 2 ✅

Sligo Rovers – Celtic: 2 

Kavala - Asteras Tripolis: 2 

Podkonice - Ruzomberok: 2 

Lipany -Zemplin Michalovce: 2 

Filakovo - Komarno: 2 


JUU/CHINI [OVER/UNDER]

Orleans - Valenciennes: Under 3.5

Peterborough United U21 - Burnley U21: Over 1.5 

Tallinna Kalev II - FC Tallinn: Over 1.5 

Hodonin - Zlin II: Over 1.5 

Podkonice - Ruzomberok: Over 1.5 


Post a Comment

Previous Post Next Post