Mkeka wa Leo 10 October 2024: Weka Dau kwa Uingereza Kushinda Dhidi ya Ugiriki


England chini ya kocha wa muda Lee Carsley watajaribu kuendelea na mwanzo wao mzuri kwenye UEFA Nations League leo Alhamisi Usiku watakapokutana na Ugiriki katika uwanja wa Wembley huku timu zote zikiingia kwenye mchezo huu bila kupoteza katika kundi lao, huku Ugiriki ikiongoza kundi kwa tofauti ya mabao.

Carsley amekuwa na wakati mzuri tangu aliposhika hatamu, akiiongoza England kushinda michezo miwili dhidi ya Ireland na Finland. Kama akiweza kushinda tena, anaweza kuwa kocha wa kwanza wa England kushinda mechi zake tatu za mwanzo bila kuruhusu bao, rekodi ambayo mara ya mwisho iliwekwa na Fabio Capello mwaka 2008.

Kwa upande wa Ugiriki nao wamekuwa wakati mzuri katika mashindano haya. Wamepata ushindi dhidi ya Finland na Ireland. Hata hivyo, watamkosa mfungaji wao bora Fotis Ioannidis, jambo linaloweza kuwapa changamoto kubwa. Pamoja na hayo, mshambuliaji Vangelis Pavlidis na kiungo Tasos Bakasetas bado wana uwezo wa kuleta changamoto kwa England.

Harry Kane wa England ameruhusiwa na madaktari kucheza baada ya kupona jeraha dogo, lakini Carsley anaweza kumpumzisha, akiwapa nafasi Ollie Watkins au Dominic Solanke kuanza katika mechi hii, huku tatizo kubwa kwa Ugiriki ni kukosekana kwa Ioannidis.

Takwimu Muhimu:

*England wameshinda mechi saba kati ya tisa walizocheza hapo awali dhidi ya Ugiriki.

*Ugiriki wamekosa kufunga bao katika mechi tatu kati ya nne za ugenini dhidi ya England.

*England wamepoteza mechi moja pekee kati ya tano walizocheza nyumbani kwenye michuano ya Nations League.

Ubashiri wetu leo katika mechi hii ni England Kushinda

Angalia mkeka zaidi hapa chini

MATOKEO NDANI YA DAKIKA 90

⚽Moldova - Andorra: 1 ✅

⚽England - Greece: 1

⚽Israel - France: 2 

⚽Norway - Slovenia: 1X 

⚽Austria - Kazakhstan: 1 

⚽Australia - China: 1 

⚽Qatar - Kyrgyz Republic: 1 


JUU/CHINI [OVER/UNDER]

⚽Israel - France: Over 1.5 

⚽Austria - Kazakhstan: Over 1.5 

⚽Cabo Verde - Botswana: Under 3.5 

⚽Congo DR - Tanzania: Under 3.5 


Post a Comment

Previous Post Next Post