Euro 2024: Mbio za Ufungaji Bora Zapamba Moto


Mashindano ya Euro 2024 yanaendelea kutimua vumbi huko Ujerumani huku sasa yakiwa yamefikia hatua ya nusu fainali itakayozikutanisha timu za Hispania v Ufaransa na Uholanzi v Uingereza, huku moja ya vitu vinavyofuatiliwa sana na wapenzi wa soka duniani kote ni kinyang'anyiro cha mfungaji bora wa mashindano hayo makubwa barani Ulaya.

Kylian Mbappe alikuwa ni moja ya wachezaji waliotarajiwa kufanya makubwa katika mashindano haya hasa baada ya uhamisho wake kwenda Real Madrid kuweka rekodi na ikizingatiwa pia kuwa anachezea kikosi cha Ufaransa, lakini mpaka sasa mambo yamemwendea kushoto akiwa amefunga goli 1 tu!

Orodha ya Wafungaji Bora Euro 2024

Mpaka sasa kufikia hatua ya 4 Bora (Nusu Fainali) ya mashindano ya Euro 2024 tayari yameshafungwa magoli 108 katika michezo yote 48 na ifuatayo ni orodha kamili ya wafungaji bora wa mashindano mpaka sasa:

 

Mchezaji

Nchi

Magoli (Penati)

Assist

Mechi

1.

Cody Gakpo

Uholanzi

3 (0)

1

4

2.

Georges Mikautadze

Georgia

3 (1)

1

4

3.

Ivan Shranz

Slovakia

3 (0)

0

4

4.

Jamal Musiala

Ujerumani

3 (0)

0

5

5.

Dani Olmo

Hispania

2 (0)

2

4

6.

Fabian Ruiz

Hispania

2 (0)

2

4

7.

Kai Havertz

Ujerumani

2 (2)

1

5

8.

Donyell Malen

Uholanzi

2 (0)

0

3

9.

Niklas Fullkrug

Ujerumani

2 (0)

0

5

10.

Merih Demiral

Uturuki

2 (0)

0

4

11.

Florian Wirtz

Ujerumani

2 (0)

0

5

12.

Breel Embolo

Uswisi

2 (0)

0

5

13.

Razvan Marin

Romania

2 (0)

0

4

14.

Harry Kane

Uingereza

2 (0)

0

5

15.

Jude Bellingham

Uingereza

2 (0)

0

5

 



Na Luck Mwaifuge

Post a Comment

Previous Post Next Post