Mkeka wa leo, Jumamosi, utazingatia mechi
za kimataifa za kirafiki pamoja na mashindano mengine mengi. Kwenye mechi za
kirafiki, Las Palmas watacheza na Como na karata yetu tunaitupa kwa Las Palmas
kushinda mchezo huo. Katika mchezo mwingine, Zulte Weregem watacheza na Gent na
hapa tunampa mwenyeji, Zulte Weregem, nafasi ya kuibuka na ushindi.
Wakamaria wasisahau kwamba, pamoja na
mechi hizo, leo Jumamosi kuna mechi nyingine nyingi ikiwemo mechi za ligi
zinazosifika kuwa na magoli mengi kama vile Estonia Esiliiga, Norway 1st
Divison na Australia NPL huku katika ligi hizo kukiwa na mechi kama: Flora v JK
Tabasalu, Sandness v Aalesund, Croydon v South Adelaide ambapo katika mechi
zote hizo 3, chaguo leo ni kupatikana kwa angalau goli moja kabla ya mapumziko
(First Half Over 0.5 Goals).
Huu hapa chini mkeka, utakaokuwezesha
kushinda pesa leo Jumamosi tarehe 20 Julai, kutoka kwa wataalamu wetu:
Post a Comment