Jumapili imefika na ni nafasi nyingine kwa wakamaria kuweka dau kwenye michezo mbalimbali duniani!
Mchezo Wetu Maalum: Mchezo wetu maalum siku ya leo unatoka Ligi Kuu ya Norway (Norway Eliteserien) ambapo Roseberg, wanaoshika nafasi ya 11 wakiwa na alama 17, watawakabili Lillestroem, wanaoshika nafasi ya 8 wakiwa na alama 19, katika mzunguko wa 15 wa ligi hiyo. Katika michezo 6 iliyopita, Rosenberg wamefanikiwa kufunga na kuruhusu angalau goli moja (GG) katika michezo 5, huku wageni wao wakiwa wamefunga na kuruhusu goli katika michezo 4 katika 6 ya mwisho kucheza.
Michezo Mingine ya Kuweka Dau: Kuna michezo mingi ya kuweka dau kwenye mechi za kimataifa za kirafiki, Ligi ya China CFA, Ligi ya Uswisi, Ligi ya Jamhuri ya Czech na nyingine nyingi!
Soko la 1X2 (Home/Draw/Away)
● Young Boys v Sion (1) ❌
● Marienham v SJK (1) ❌
● Lech v Górnik (1) ✅
BTTS/GG (Wote Wafunge)
● Inter Turku v TPV ✅
● Rosenberg v Lillestroem Imeahirishwa
Magoli Zaidi ya 1.5 (Over 1.5)
● Silkeborg v Sonderjyske ❌
● Norrkoping v Halmstad ❌
● Lausanne v Basel ✅
● Viborg v Brondby ✅
Post a Comment