Mkeka wa Leo Tarehe 27 Julai 2024: Weka Dau kwa Union SG, HJK na Bodo Glimt Kushinda

 

Dender EH warudi katika Ligi Kuu ya Ubelgiji na mechi yao ya kwanza watakakutana na Union SG kwenye Uwanja wa Dender Football Complex.

Klabu hiyo ilipanda daraja kurudi ligi kuu baada ya kumaliza nafasi ya pili katika ligi daraja la kwanza na kupata nafasi ya kupanda moja kwa moja. Ubora wao ulionekana wazi baada ya kumaliza katika nafasi mbili za juu wakiwa na mchezo mmoja mkononi, shukrani kwa mabao mawili ya mshambuliaji Bruny Nsimba siku ya mwisho wa ligi.

Union SG, kwa upande mwingine, wanakuja kutoka kwenye ushindi wa Kombe la Ubelgiji wakiwafunga Club Brugge katika mchezo wa fainali.

Baada ya miaka 15, Dender wanarudi kwenye ligi kuu kwa mara ya kwanza na wanatarajia kufanya makubwa. Hata hivyo, Union SG wametoka waliotoka kushinda Kombe la ligi hawatarajiwi kuwapa ukaribisho rafiki.

Soko la 1X2 (Home/Draw/Away)

● Dender – Union SG (2) ❌
● Teplice – Sparta P. (2) ✅
● Kalju – Tammeka (12) ✅
● HJK - Oulu (1) ✅
● Vestri – Hafnarfjordur (2) ❎Postponed


Soko la Magoli (Juu ya/Pungufu ya)

● CSKA Sofia – Hebar (Chini ya 4.5) ✅
● Nordsjaelland – Midtjylland (Juu ya 1.5) ✅
● Sligo R. – Galway (Chini ya 3.5) ✅
● D. Telsiai – FK Panevezys (Chini ya 3.5) ❌
● Sion – Lausanne (Juu ya 1.5) ✅


 BOFYA HAPA KUJIUNGA NA MERIDIANBET LEO

Post a Comment

Previous Post Next Post