Manchester City wanaanza kutetea taji lao la Ligi ya Premia katika uwanja wa Stamford Bridge dhidi ya Chelsea katika mchezo wa mapema leo Jumapili.
Pep Guardiola anakwenda kupambana na kigogo wake mwingine wa zamani wikendi hii kama kocha mpya wa Chelsea Enzo Maresca ambaye mechi yake ya kwanza kuinoa klabu hiyo ya London inaonekana kuwa ubatizo wa moto.
Takwimu Muhimu
- Timu hizi mbili zilikutana kwenye pre-season kwa mechi ya kirafiki nchini Marekani ambayo Man City ilishinda 4-2.
- Man City walimaliza kileleni mwa jedwali la Premier League msimu uliopita wakiwa na pointi 91 huku Chelsea wakimaliza nafasi tano chini wakiwa na pointi 63.
- Erling Haaland alifunga mabao 38 katika mechi 45 za Man City msimu uliopita, 27 kati ya hizo zilifika kwenye ligi, mbili dhidi ya Chelsea.
Bila ya kupepesa macho tunampa Manchester City ushindi katika huu mchezo
Angalia mkeka zaidi hapa chini
MUDA |
MECHI |
CHAGUA |
MATOKEO |
16:15 |
Simba - Tabora United |
1 |
Won |
18:30 |
Chelsea -
Manchester City |
2 |
Won |
22:30 |
Mallorca - Real Madrid |
2 |
Lost |
19:30 |
Verona - Napoli |
2 |
Lost |
21:45 |
Lazio - Venezia |
1 |
Won |
21:45 |
Besiktas - Antalyaspor |
1 |
Won |
===>WEKA DAU HAPA
TIMU ZOTE KUPATA GOLI [BTTS/GG] |
|||
MUDA |
MECHI |
CHAGUA |
MATOKEO |
16:00 |
Brentford - Crystal Palace |
GG |
Won |
21:45 |
Cagliari - Roma |
GG |
Lost |
20:00 |
Real Sociedad - Rayo Vallecano |
GG |
Won |
===>WEKA DAU HAPA
JUU/CHINI [OVER/UNDER] |
|||
MUDA |
MECHI |
CHAGUA |
MATOKEO |
22:00 |
AEK Athens - OFI Crete |
Over 2.5 |
Won |
22:00 |
Leicester -
Tottenham |
Over 1.5 |
Won |
20:00 |
Panathinaikos - Asteras Tripolis |
Over 2.5 |
Lost |
18:00 |
Remo Stars - FAR Rabat |
Over 1.5 |
Won |
===>WEKA DAU HAPA
KAMA BADO HUJAJIUNGA NA MERIDIANBET BOFYA HAPA KUJIUNGA
Post a Comment