Real Madrid imefanya mabadiliko kadhaa makubwa katika kikosi chao msimu huu wa kiangazi, ikiwa ni pamoja na kustaafu kwa Toni Kroos na kuongezwa kwa Kylian Mbappe na Endrick. Mbappe alifanikiwa kufunga katika Kombe la UEFA Super Cup na hajaweza kufunga katika mechi zake mbili za kwanza za La Liga.
Timu hiyo ilianza kampeni yao ya ligi kwa sare ya 1-1 ugenini dhidi ya Mallorca, kabla ya kuja kupata ushindi mkubwa nyumbani kwa kuwafunga Real Valladoid 3-1. Mabao ya Madrid katika mechi hiyo yalifungwa na Federico Valverde na Brahim Diaz waliofunga goli moja kila mmoja kisha bao la tatu likafungwa na Endrick akitokea na kumfanya kijana huyo wa miaka 18 kuwa mchezaji mdogo zaidi wa Real Madrid kufunga kwenye mchezo wake wa kwanza wa La Liga katika karne ya 21.
Real Madrid sasa itafunga safari kwenda Gran Canaria kuwakabili Las Palmas ikiwa na matarajio ya kupata ushindi wao wa kwanza wa ugenini wa msimu huu, na watakuwa katika nafasi nzuri kupata ushindi kwa kuzingatia ukweli kwamba walikusanya alama zote tatu kwenye kika mchezo katika mechi nne za mwisho walizokutana.
Las Palmas wako chini ya usimamizi wa meneja mpya msimu huu baada ya Garcia Pimienta aliewaongoza kwa miaka miwili na nusu kuachana na klabu hiyo. Luis Carrion aliteuliwa baadaye kama mrithi wa Pimienta, Kwa bahati mbaya kwa Carrion, safari yake kama meneja wa klabu ya La Liga yameanza kwa namna isiyo ya kuvutia, kwani amefanikiwa kupata alama moja tu katika kwa mechi zake mbili za kwanza.
Las Palmas walipata sare ya 2-2 nyumbani katika mchezo wao wa kwanza wa ligi, kabla ya kuja kufungwa 2-1 katika mchezo wa ugenini wa Jumapili dhidi ya Leganes.
Ni wazi kuwa Las Palmas inaweza kupata shida kupata ushindi wao wa kwanza wa La Liga tangu Februari katika mechi yao kwani wanakutana na bingwa mtetezi Real Madrid.
Real Madrid, kwa upande mwingine, itacheza mchezo wa pili mfululizo bila nyota wao Jude Bellingham, anasumbuliwa na jeraha la misuli katika mguu wake wa kulia.
Takwimu Muhimu:
⚽Las Palmas hawajashinda katika mechi zao 16 za ligi za mwisho na 8 kati ya hizo walicheza katika uwanja wao wa nyumbani watakaoutumia kuwakabili Real Madrid.
⚽Real Madrid wamwshinda kipindi cha pili katika saba kati ya mechi zao 10 za mwisho za La Liga.
⚽Real Madrid wamefunga mabao 13 katika kipindi cha pili katika mechi zao 10 za ligi za mwisho.
Ubashiri wetu leo katika mechi hii ni Real Madrid kushinda
Angalia mikeka zaidi hapa chini
MUDA |
MECHI |
CHAGUA |
MATOKEO |
22:30 |
Las Palmas - Real Madrid |
2 |
Lost |
19:30 |
Al Nasri Dubai -
Baniyas |
1 |
Won |
20:00 |
Girona - Osasuna |
1X |
Won |
17:00 |
Astana - Brann |
2 |
Lost |
21:00 |
Ajax - Jagiellonia |
1 |
Won |
19:00 |
Kagera Sugar - Young Africans |
2 |
Won |
===>WEKA DAU HAPA
TIMU ZOTE KUPATA GOLI [BTTS/GG] |
|||
MUDA |
MECHI |
CHAGUA |
MATOKEO |
22:00 |
Rapid Viena - Sporting Braga |
GG |
Won |
19:00 |
HJK Helsink Ki Klaksvik |
GG |
Won |
20:00 |
Elfsborg - Molde |
GG |
Lost |
===>WEKA DAU HAPA
JUU/CHINI [OVER/UNDER] |
|||
MUDA |
MECHI |
CHAGUA |
MATOKEO |
21:00 |
Beskitas - Lugano |
Over 1.5 |
Won |
21:00 |
Ajax - Jagiellonia |
Over 2.5 |
Won |
21:00 |
Anderlecht - Dinamo Minsk |
Over 1.5 |
Lost |
20:00 |
Petrocub - Ludogorets |
Under 3.5 |
Won |
===>WEKA DAU HAPA
KAMA BADO HUJAJIUNGA NA MERIDIANBET
BOFYA HAPA KUJIUNGA
Post a Comment