Mkeka wa Leo 31 August 2024: Weka Under 3.5 Katika Mechi ya Arsenal Dhidi ya Brighton


Arsenal na Brighton & Hove Albion watakutana katika mchezo muhimu wa Ligi Kuu Jumamosi, huku timu zote zikilenga kuendeleza jinsi walivyoshinda katika mechi zikizopita katika msimu huu.

Arsenal hivi karibuni waliwakung’uta Aston Villa 2-0, shukrani kwa magoli ya Leandro Trossard na Thomas Partey huku kipa David Raya akifanya kazi muhimu kuokoa michomo hatari ya washambuliaji wa Aston Villa.

Brighton pia imekuwa ya kuvutia msimu huu, ikishinda 2-1 dhidi ya Manchester United katika mchezo wao uliopita. Magoli ya Brighton yakifungwa na Danny Welbeck na Joao Pedro wakati Alejandro Garnacho alifunga goli la kufutia machozi kwa Manchester United.

Arsenal imeshinda mechi zao nane za mwisho za Ligi Kuu na inatafuta nafasi ya kuongeza rekodi hii. Brighton, chini ya uongozi wa meneja Fabian Hurzeler, pia imekuwa katika hali nzuri, ikishinda mechi zao mbili za mwisho.

Arsenal italazimika kuwakabili Brighton bila mchezaji wao nyota Gabriel Jesus kutokana na jeraha, lakini Mikel Merino anaweza kuoata mchezo wake wa kwanza akiwa na washika mitutu hao wa London. Brighton pia itawakosa Matt O’Riley, Solly March, Brajan Gruda, na Mats Wieffer kutokana na majeraha.

Arsenal inatarajiwa kushinda mchezo huo, lakini Brighton wanatarajia kuwapa upinzani mgumu. Mchezo huo unatajiwa kuwa wa kusisimua na wa ushindani hivyo chaguo salama zaidi ni kubetia magoli.

Takwimu Muhimu:

Katika mechi sita kati ya saba za mwisho za Arsenal nyumbani kwenye Ligi Kuu, mabao chini ya 3.5 yamefungwa.

Mechi kumi na moja kati ya kumi na tatu za mwisho za Arsenal kwenye Ligi Kuu zimeshuhudia mabao chini ya manne.

Mechi saba za mwisho za Brighton kwenye Ligi Kuu zote zimeshuhudia mabao matatu au chini ya hapo.

Mechi saba za mwisho za Brighton za ugenini kwenye Ligi Kuu pia zimeshuhudia mabao chini ya 3.5.

Michezo mitatu ya mwisho ya Ligi Kuu kati ya Arsenal na Brighton yote imeshuhudia mabao matatu au chini ya hapo.

Ubashiri wetu leo katika mechi hii ni Under 3.5

Angalia mkeka zaidi hapa chini

MATOKEO NDANI YA DAKIKA 90

MUDA

MECHI

CHAGUA

MATOKEO

14:30

Arsenal - Brighton

1

Lost

17:00

Brentford - Southampton

1

Won

21:45

Napoli - Parma

1

Won

18:00

Barcelona - Valladolid

1

Won

22:30

Almeria - Sporting Gijon

1

Lost

19:30

West Ham - Manchester City

2

Won

 

===>WEKA DAU HAPA

TIMU ZOTE KUPATA GOLI [BTTS/GG]

MUDA

MECHI

CHAGUA

MATOKEO

17:00

Leicester - Aston Villa

GG

Won

19:30

Bayer Leverkusen - RB Leipzig

GG

Won

16:30

Werder Bremen - B. Dortmund

GG

Lost

21:45

Lazio - AC Milan

GG

Won

 

===>WEKA DAU HAPA

JUU/CHINI [OVER/UNDER]

MUDA

MECHI

CHAGUA

MATOKEO

14:30

Arsenal - Brighton

Under 3.5

Won

17:00

St. Johnstone - Motherwell

Over 1.5

Won

19:30

Lamia - Olympiakos

Over 2.5

Won

20:30

Sturm Graz - WSG Wattens

Over 1.5

Won

15:30

SV Lafnitz - Josko Ried

Over 1.5

Won

 

===>WEKA DAU HAPA

 

KAMA BADO HUJAJIUNGA NA MERIDIANBET BOFYA HAPA KUJIUNGA

TUMIA PROMOCODE 1029 KUPATA BONUS

====MAELEKEZO JINSI YA KUJIUNGA BOFYA HAPA ====

Post a Comment

Previous Post Next Post