Mkeka wa Leo 01 September 2024: Mpe Chelsea Ushindi Dhidi ya Crystal Palace na Timu Zote Kufungana

 

Baada ya kufanya makubwa katika dirisha la usajili la kiangazi na pia kwenye mechi za maandalizi za msimu, hatimaye Chelsea imehamishia makali yake kiwanjani hususani katika Ligi Kuu ya Uingereza ambapo mechi inayowasubiri hivi sasa ni dhidi ya Crystal Palace katika dimba la Stamford Bridge.

Licha ya kutumia zaidi ya £200 milioni kwa wachezaji wapya na kufanya mabadiliko kadhaa kwenye kikosi, Chelsea imekabiliwa na ukosoaji hasa kutokana na udhaifu wa safu yao ya ulinzi.

Kocha mpya Enzo Maresca amefanya vyema mpaka hivi sasa akiwaongoza Blues kushinda kwa kushawishi dhidi ya Wolves huku wachezaji waliofanya vizuri kwenye mchezo huo yani Noni Madueke na Cole Palmer wote wanatarajia kujumhishwa katika mchezo huu dhidi ya Palace.

Fomu ya hivi karibuni ya Chelsea imekuwa ya kusuasua kwani licha ya kwamba walishinda dhidi ya Wolves 6-2 nyumbani lakini walipata kipigo cha 2-1 dhidi ya Servette katika Conference League.

Kwenye ligi, Chelsea ina rekodi nzuri dhidi ya Crystal Palace, wakiishinda katika mechi zao 14 za mwisho. Watatafuta kuongeza fomu hii na kupata ushindi katika mchezo wao wa pili wa nyumbani katika Ligi Kuu msimu huu.

Kwa upande wa Crystal Palace wao wamekuwa na mwanzo mbaya wa msimu wakipoteza mechi zao mbili za kwanza. Wamekuwa na matatizo katika safu ya ulinzia na hata katika ushambuliaji bado ni changamoto.

Mchezo huu utakuwa mtihani muhimu kwa timu zote mbili, Chelsea watakuwa wakitafuta kuendeleza pale walipoishia dhidi ya Wolves wakati Crystal Palace watakuwa wakihitaji kutokuendelea kuwa na mwanzo mbaya wa msimu.

Takwimu Muhimu:

💡Kwa wastani, Chelsea wanafunga mabao matatu na wanaruhusu mawili kwa kila mchezo katika EPL msimu huu.

💡Crystal Palace wamepoteza mechi zote mbili za EPL msimu huu.

💡Chelsea wameshinda mechi zote 14 zilizopita dhidi ya Crystal Palace.

💡Katika Mechi nne za mwisho za EPL zilizozikutanisha timu hizi, BTTS imetokea katika mechi 3.

Ubashiri wetu leo katika mechi hii Chelsea Kushinda na BTTS.

Angalia mkeka zaidi hapa chini


MATOKEO NDANI YA DAKIKA 90

⚽Chelsea – Crystal Palace: 1

Real Madrid – Betis: 1 ✅

Club Brugge – Cercle Brugge: 1 ✅

Malmo FF – Djurgardens: 1 ✅

Lille – PSG: 2 ✅

Bayern Munich – Freiburg: 1 ✅



JUU/CHINI [OVER/UNDER]

FK Teplice – Mlada Boleslav Over: 1.5 ✅

Levadiakos – AEK Athens Over: 1.5 ✅

Schakle 04 – Cologne Over: 1.5 ✅

Lille – PSG Over: 1.5 ✅

Gristan – Ilves Over: 1.5 ✅

Bayern Munich – Freiburg Over: 2.5 

Post a Comment

Previous Post Next Post