Blackpool na Crewe Alexandra watakabiliana katika mashindano ya EFL leo Septemba 3, 2024 katika mchezo ambao Blackpool wanatarajiwa kutawala mechi na kupata ushindi mnono.
Blackpool, wanaofahamika pia kama “The Tangerines,” chini ya uongozi wa Ian Holloway, walishiriki Ligi Kuu ya Uingereza mwaka 2010/2011. Hata hivyo, wamekuwa wakikabiliwa na changamoto, wakishuka hadi ngazi ya nne ya soka la Uingereza. Licha ya vikwazo hivi, wameonyesha ishara nzuri siku za hivi karibuni wakifanikiwa kumaliza katika nafasi ya 8 katika Ligi Daraja la Kwanza msimu uliopita.
Crewe Alexandra, wanaojulikana pia kama “The Alex,” wamekuwa wakijitahidi kurudi katika Ligi Daraja la Kwanza kutokea Ligi Daraja la Pili. Hata hivyo, juhudi zao hazijakuwa na mafanikio na mara ya mwisho walifungwa na Crawley katika mechi za playoff za kupanda daraja. Chini ya uongozi wa Lee Bell, timu imekuwa na mwanzo mgumu wa msimu mpya, ikipata matokeo ya kufungwa na sare katika mechi zao za awali.
Ingawa Crewe imefanikiwa kupata ushindi wa 5-1 dhidi ya Liverpool U21 katika mashindano ya EFL, matokeo yao dhaifu katika mechi za ligi bado yanaleta maswali juu uwezo wao wa kukabiliana na Blackpool.
Mechi hii inatarajiwa kuwa ya kuvutia kwani Blackpool watataka kuthibitisha ukubwa wao, wakati Crewe Alexandra wanalenga kudhihirisha kwamba wana kikosi imara na wanaweza kupata matokeo chanya bila kujalisha aina ya mpinzani wanaekutana nae.
Takwimu Muhimu:
💡Blackpool wameshinda michezo mitatu katika 10 iliyopita.
💡Katika mechi 9 zilizopita, Crewe wamefungwa mechi 6
Ubashiri wetu leo katika mechi hii Blackpool Kushinda.
Angalia mkeka zaidi hapa chini
MATOKEO NDANI YA DAKIKA 90
⚽Exeter – Swindon Town 1 ✅
⚽Blackpool – Crewe 1 ✅
⚽Wigan – Morecambe 1 ❌
⚽Birmingham – Walsall 1 ❌
⚽Fleetwood – Aston Villa U21 1 ❌
⚽Hereford – Needham Market FC 1 ❌
JUU/CHINI [OVER/UNDER]
⚽Rushall Olympic – Marine FC Over 1.5 ✅
⚽Birmingham – Walsall Over 1.5 ✅
⚽Fleetwood – Aston Villa U21 Over 1.5 ✅
⚽Barrow – Bolton Over 1.5 ✅
Post a Comment