Mkeka wa Leo 06 September 2024: Weka Ufaransa Kushinda na BTTS No


Mchezo wa Kundi A la Ligi ya Mataifa UEFA kati ya Ufaransa na Italia unatarajiwa kuchezwa leo utakuwa wa kuvutia na wenye upinzani sana. Mabingwa watetezi, Ufaransa, wanatamani kurejesha utawala wao baada ya kampeni ya Euro 2024 iliyokuwa ya kukatisha tamaa licha ya kwamba walitolewa na Hispania katika hatua ya nusu fainali, kinyume na matarajio ya wengi ambao waliwatabiria kufika mbali zaidi ya hapo au hata kuchukua ubingwa kabisa. Italia, kwa upande mwingine, wao waliondolewa mapema kwenye mashindano hayo hayo.

Kocha wa Ufaransa, Didier Deschamps, atakuwa na kibarua cha kuhakikisha anarejesha furaha ya mashabiki wa Ufaransa ambao wanaamini kwa kikosi walichonacho hakuna timu inayoweza kuwazuia. Mashindano ya Kombe la Dunia yanakaribia na kufanya vizuri katika Ligi ya Mataifa Ulaya ni muhimu ili kujiandaa na Kombe la Dunia. Ushindi dhidi ya Italia ni muhimu kwa ajili ya kurudisha hali ya kujiamini lakini pia kutuma ujumbe kwa wapinzani wao wengine.

Kocha mkuu wa Italia, Luciano Spalletti, anakabiliwa na kibarua kigumu kwani kiwango cha siku za hivi karibuni cha timu hiyo kimekuwa chini ya matarajio ya wengi. Ingawa bado wana wachezaji wenye vipaji vikubwa kama vile Moise Kean, Samuele Ricci, Lorenzo Pellegrini na wengine wengi bado kukabiliana na timu kama Ufaransa ni mtihani mkubwa sana kwao.

Takwimu Muhimu:

* Italia wamefunga magoli matatu tu katika mechi tano za mwisho za ugenini.

* Ufaransa wamefungwa magoli matatu tu katika mechi nane za mwisho.

* Ufaransa hawajafungwa goli katika mechi nane za mwisho.

* Italia wamefunga magoli manne tu katika mechi sita za mwisho, mawili yakiwa dhidi ya Albania.

* Ufaransa wameshinda zote tatu za mwisho na pia wameshinda mechi tisa kati ya mechi 13 za mwisho dhidi ya Italia.

Ubashiri wetu leo katika mechi hii Ufaransa Kushinda na BTTS No

Angalia mkeka zaidi hapa chini

MATOKEO NDANI YA DAKIKA 90

⚽Morocco – Gabon: 1 ✅

⚽Egypt – Cape Verde: 1 ✅

⚽Northern Ireland U21 – England U21: 2

⚽Kazakhstan – Norway: 2 

⚽Belgium – Israel: 1 ✅


JUU/CHINI [OVER/UNDER]

⚽Kosovo – Romania: Under 3.5 ✅

⚽University College Dublin – Cork City: Under 3.5 ✅

⚽Cobh Ramblers – Wexford: Over 1.5 ✅

⚽Ivory Coast – Zambia: Over 1.5 ✅

⚽Kenya – Zimbabwe: Under 2.5 ✅


TIMU ZOTE KUPATA GOLI (GG/BTTS)

⚽Iceland – Montenegro: BTTS yes 

⚽Puchov – Povazska Bystrika: BTTS yes ✅

⚽Cobh Ramblers – Wexford: BTTS yes ✅

⚽Nimes – Rouen: BTTS yes ✅


Post a Comment

Previous Post Next Post