Ujerumani itaanza kampeni yao ya UEFA Nations League 2024-25 leo Jumamosi kwa mchezo wa nyumbani dhidi ya Hungary. Mchezo huo ni sehemu ya michezo ya Kundi A, ambalo pia lina Uholanzi Bosnia Herzegovina.
Ligi ya Mataifa ya Ulaya imefanyiwa mabadiliko madogo ya muundo mwaka huu, ambapo timu mbili za juu katika kila kundi zitakwenda robo fainali. Historia ya Ujerumani katika Ligi ya Mataifa Ulaya sio ya kuvutia sana, ikiwa imeshinda mara tatu tu katika mechi 16 na sare tisa. Hata hivyo, wana rekodi nzuri ya nyumbani, ikiwa na kichapo kimoja tu walichokipokea kutoka kwa Hungary miaka miwili iliyopita.
Hungary nao kwa upande mwingine, wamekuwa na kiwango bora siku za hivi karibuni.
Kwa kuzingatia faida ya kucheza katika uwanja wa nyumbani na kiwango bora walichonacho tunatabiri ushindi kwa wenyeji. Tunatarajia Ujerumani kupata ushindi tangu kipindi cha kwanza na kuendeleza ushindi huo mpaka mwisho wa mchezo.
Takwimu Muhimu:
* Ujerumani iliwafunga Hungary 2-0 katika mashindano ya Euro tarehe 19 June mwaka huu.
* Hungary wamepoteza mechi 3 katika mechi zao 5 za mwisho.
* Ujerumani wamepoteza mchezo mmoja tu katika tisa za mwisho na hiyo ilikuwa dhidi ya mabingwa wa Ulaya, Hispania.
* Ujerumani wamepoteza moja tu kati ya mechi sita za mwisho dhidi ya Hungary.
Ubashiri wetu leo katika mechi hii Ujerumani Kushinda
Angalia mkeka zaidi hapa chini
MATOKEO NDANI YA DAKIKA 90
⚽Netherlands – Bosnia: 1 ✅
⚽Larne- Ballymena United: 1 ❌
⚽Wrexham - Shrewsbury Town: 1 ✅
⚽Ireland – England: 2 ✅
⚽Chesterfield - Grimsby Town: 1X ✅
⚽Sutton United - Boston United: 1X ❌
JUU/CHINI [OVER/UNDER]
⚽Faroe Islands North Macedonia :Under 3.5 ✅
⚽Ireland – England: Over 1.5 ✅
⚽Germany – Hungary: Over 2.5 ✅
⚽Nigeria – Benin: Over 1.5 ✅
⚽Notts County - Accrington Stanley: Over 1.5 ✅
⚽Aarhus Fremad – HIK: Over 1.5 ❌
⚽Njardvik – Keflavik: Over 1.5 ❌
⚽Dungannon Swifts – Glentoran: Over 1.5 ❌
TIMU ZOTE KUPATA GOLI (GG/BTTS)
⚽Faroe Islands - North Macedonia: BTTS No ❌
⚽Charlton Athletic - Rotherham United: BTTS Yes ✅
⚽Milton Keynes Dons – Walsall: BTTS Yes ❌
⚽Notts County - Accrington Stanley: BTTS Yes ❌
⚽Aarhus Fremad – HIK: BTTS Yes ❌
Post a Comment