Ureno wametoka kuonja radha ya ushindi dhidi ya Croatia na watataka kufanya hivyo dhidi ya Scotland pia, Scotland ambao bado wanazidi kutafuta namna ya kumaliza ukata wao wa kupata ushindi katika michezo inayowakabili. Uwezo wa kushinda mechi hiyo Ureno wanao na pia wana faida ya kutumia hii uwanja wao wa nyumbani.
Rekodi ya Ureno katika uwanja wao wa nyumbani ni ya kuvutia sana, wameshinda michezo 17 iliyopita waliyochezea ardhi ya nyumbani katika mashindano yote. Hata hivyo, safu yao ya ulinzi imeonesha madhaifu, wakiruhusu angalau goli moja katika michezo minne kati ya mitano iliyopita. Pamoja na changamoto hiyo, uwezo mkubwa wa Ureno kushambulia, wakiongozwa na nyota Cristiano Ronaldo, unawafanya kupewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi katika mechi hii.
Scotland wao wamekuwa na kiwango cha kukatisha tamaa kwani hawajaonesha uwezo mkubwa katika kujenga na kutekeleza mashambulizi, lakini pia hata katika kujilinda. Mchezo wa kwanza katika mashindano ya Mataifa ya Ulaya msimu huu uliisha kwa wao kukubali kichapo cha magoli 3-2 kutoka kwa Poland.
Kwa sababu hizo, ni wazi kwamba Ureno ndio wanaopewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi katika mchezo huu. Lakini pia, rekodi za matokeo ya michezo ya iliyozikutanisha timu hizi zinawabeba Ureno dhidi ya wapinzani wao hao kwani katika michezo 10 iliyopita, Ureno wamefanikiwa kushinda mara 6, wakitoa sare 2 huku Scotland wao wakishinda mara mbili tu. Mchezaji anaetegemewa zaidi katika kikosi cha Ureno ni Cristiano Ronaldo, huku kwa upande wa kikosi cha Scotland ni McTominay.
Takwimu Muhimu:
* Ureno wamepoteza mchezo mmoja tu kati ya michezo 13 ya mwisho ya nyumbani.
* Scotland haijashinda mchezo wowote katika mechi tano za mwisho.
* Katika mechi 13 za mwisho, Scotland wameshinda mmoja tu dhidi ya Gibraltar.
* Scotland wamefunga bao katika mchezo mmoja tu kati ya mechi tano za mwisho za ugenini katika Ligi ya Mataifa Ulaya.
* Ureno wameshinda mechi tatu za mwisho dhidi ya Scotland, wakifunga mabao kumi.
* Ureno hawajawahi kupoteza nyumbani dhidi ya Scotland, na mechi sita za mwisho wameshinda zote.
Ubashiri wetu leo katika mechi hii Ureno Kushinda
Angalia mkeka zaidi hapa chini
MATOKEO NDANI YA DAKIKA 90
⚽Denmark - Serbia: 1X ✅
⚽Switzerland - Spain: 2 ✅
⚽Portugal - Scotland: 1 ✅
⚽Sweden - Estonia: 1 ✅
⚽Gambia - Tunisia: X2 ✅
⚽Queen’s Park - Edinburgh City: 1 ✅
⚽IBV - Grindavik: 1 ✅
⚽IR - Grotta: 1 ✅
⚽Vard - Hodd 2: ❌
⚽Podbeskidzie - Wieczysta Krakow: X2 ❌
⚽Friska Viljor Stocksund: X2 ✅
JUU/CHINI [OVER/UNDER]
⚽Luxembourg - Belarus: Under 3.5 ✅
⚽Bulgaria - Northern Ireland: Under 4.5 ✅
⚽Portugal - Scotland: Over 1.5 ✅
⚽Sweden - Estonia: Over 1.5 ✅
⚽Telstar - MVV: Over 1.5 ✅
⚽Queen’s Park - Edinburgh City: Over 1.5 ❌
⚽Eintracht Trier - Kickers Offenbach: Over 1.5 ✅
⚽Thorttur Reykjavik - Leiknir Reykjavik: Over 1.5 ✅
⚽Fjolnir - Afturelding: Over 1.5 ✅
⚽Vard - Hodd: Over 2.5 ❌
TIMU ZOTE KUPATA GOLI (GG/BTTS)
⚽Luxembourg - Belarus: BTTS No ✅
⚽Switzerland - Spain: BTTS Yes ✅
⚽Telstar - MVV: BTTS Yes ❌
⚽St. Pauli II - BW Lohne: BTTS Yes ✅
Post a Comment