Mkeka wa Leo 09 September 2024: Weka Dau Lako kwa Italia Kushinda Dhidi ya Israeli

 
Italia, waliotoka kushinda 3-1 dhidi ya timu ngumu Ufaransa wanatarajia kuwakabili Israeli, waliotoka kubamizwa 3-1 na Ubelgiji katika mchezo muhimu wa Ligi ya Mataifa UEFA . Italia watalenga kuendelea kuonesha ubora wao wakati Israeli wao watahitaji kutafuta ushindi wao wa kwanza.

Ligi ya Mataifa ya UEFA 2024/25 imeanza kwa kusisimua, na moja ya mechi bora wiki hii ni hii kati ya Italia na Israel. Italia wanapewa nafasi kubwa sana kuendeleza ubabe wao dhidi ya Waisraeli.

Aina ya uchezaji waliyoonesha Italia dhidi ya Ufaransa ilionesha uthabiti wao na uwezo wao wa kushambulia, lakini hata safu yao ya kati, iliyoongozwa na Sandro Tonali na Davide Frattesi ilionesha ubora wa hali ya juu sana. Kurejea kwa Tonali kumeongeza balance inayohitajika kwa timu, wakati nguvu, kasi na uwezo kufunga mabao wa nyota Frattesi umekuwa muhimu.

Israel wao kwa upande mwingine, wanatarajia kurejea kutoka kwa kichapo cha kusikitisha cha mabao 3-1 kutoka kwa Ubelgiji. Watakabiliwa na kazi ngumu dhidi ya timu ya Italia ambayo imeongeza kiasi chake cha kujiamini hasa baada ya kupata ushindi dhidi ya Ufaransa.

Kwa kuzingatia ubora wa Italia kwa siku za hivi karibuni, na ubabe wa kihistoria dhidi ya Israel, wanapendekezwa kushinda mechi hii. Lakini ikumbukwe kwamba hatutakiwi kubeza uwezo wa Israeli kushambulia, uwezo unaoweza kulifanya pambano la ushindani zaidi kuliko wengi wanavyotarajia.

Takwimu Muhimu:

*Timu hizi zimekutana mara 5, Italia akiwa hajapoteza hata mara moja ambapo kashinda mara nne na sare ni moja tu.

*Timu hizi mara ya mwisho zimekutana September 27 katika mechi ya kufuzu Kombe la Dunia na Italia walishinda 1-0.

Ubashiri wetu leo katika mechi hii Italia Kushinda

Angalia mkeka zaidi hapa chini

MATOKEO NDANI YA DAKIKA 90

⚽Israel - Italy: 2 ✅

⚽Romania - Lithuania: 1 ✅

⚽Slovenia - Kazakhstan: 1 ✅

⚽Lesotho - Morocco: 2 ✅

⚽Ethiopia - Congo DR: X2 ✅




JUU/CHINI [OVER/UNDER]

⚽Israel - Italy: Over 1.5 ✅

⚽England U21 - Austria U21: Over 1.5 ✅

⚽Netherlands U21 - Georgia U21: Over 1.5 ✅

⚽Castellon - Cadiz: Under 3.5

⚽Litex – Belasitsa: Under 3.5 ✅


Post a Comment

Previous Post Next Post