Mkeka wa Leo 16 September 2024: Weka 1X Mechi ya Birmingham na Wrexham

Birmingham City na Wrexham watakutana kwenye Uwanja wa St. Andrew’s Jumatatu huku wote wakilenga kudumisha rekodi zao za kutopoteza katika msimu huu wa League One.

Birmingham City ambao kwa sasa wanashika nafasi ya sita, wameonesha kiwango bora tangu kushuka daraja, wakiimarisha kikosi chao kwa saini za maana hususani usajili wa Jay Stansfield. Wameshinda michezo mitatu kati ya minne ya ligi, ikiwa ni pamoja na ushindi wao wa mwisho dhidi ya Wigan Athletic.

Wrexham United wao wako juu kabisa ya msimamo wa League One. Wakishinda mechi 4 na sare 1 kati ya mechi 5, huku wakifanikiwa kufunga magoli mengi na kuwa na safu nzuri ya ulinzi.

Timu zote mbili pia zimeonesha uwezo mkubwa katika kombe la EFL. Birmingham walipata sare dhidi ya Walsall na wakafungwa kwenye penalti, wakati Wrexham walishinda 2-1 dhidi ya Salford City.

Takwimu Muhimu:

*Birmingham City wameshinda mechi 3 mfululizo katika ligi, ikiwa ni pamoja na mshindi wa mwisho dhidi ya Wigan.

*Wrexham hawajafungwa katika mechi tano za ushindani,

Ubashiri wetu leo katika mechi hii ni Birmingham kushinda au kupata sare (1X).

Angalia mkeka zaidi hapa chini

MATOKEO NDANI YA DAKIKA 90

⚽Lazio - Verona: 1 ✅

Antalyaspor - Adana Demirspor: 1X 

Birmingham – Wrexham: 1X 

Excelsior - VVV Venlo: 1 

Emmen - Vitesse: 1X 

Lokomotiv Sofia - CSKA Sofia: 2 


JUU/CHINI [OVER/UNDER]

Antalyaspor - Adana Demirspor: Over 1.5 

Excelsior – VVV Venlo: Over 1.5 

Utrecht II - Den Bosch: Over 1.5 

PSV Eindhoven II - ADO Den Haag: Over 1.5 

Nordsjaelland – Randers: Over 1.5 

 

Post a Comment

Previous Post Next Post