Baada ya mechi yao ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Arsenal, Atalanta BC watakutana timu iliyopanda daraja ya Como, kwenye uwanja wa Gewiss Jumatatu jioni wanaporejea kwenye Serie A.
Atalanta walitoka sare ya 0-0 dhidi ya Arsenal Alhamisi iliyopita, huku David Raya akiokoa penati na kuwanyima Atalanta ushindi.
Kikosi cha Gian Piero Gasperini sasa kitakuwa kinatafuta ushindi wa mechi mbili mfululizo watakapokutana na Como, timu inayoshika nafasi ya 18 kwenye ligi na bado haijapata ushindi msimu huu. Como walipoteza uongozi wa mabao mawili dhidi ya Bologna wiki iliyopita, na sasa wanakabiliwa na changamoto ngumu ya kucheza na Atalanta huko Bergamo, ambako wamekuwa wakipata shida kihistoria.
Atalanta inaweza kufanya mabadiliko kwenye kikosi baada ya wiki ngumu, wachezaji kama Ademola Lookman, Mateo Retegui, na Mario Pasalic wana nafasi ya kuanza. Wakati huo huo, kocha wa Como, Cesc Fabregas anakabiliwa na changamoto ya kupata ushindi wake wa kwanza, huku mshambuliaji Patrick Cutrone akiiongoza safu yao ya ushambuliaji.
Ubora wa Atalanta na faida ya kucheza nyumbani vinapaswa kuwa vya kutosha kuipa timu hiyo ushindi mzuri dhidi ya Como ambao bado wanajitafuta.
Takwimu Muhimu:
*Atalanta hawajapoteza katika mechi zao sita zilizopita dhidi ya Como, wakipata ushindi mara nne.
*Atalanta wamepoteza mara moja tu katika mechi zao sita za nyumbani za Serie A, wakiwa na ushindi mara nne. Cha kuvutia ni kuwa wamefunga angalau mabao mawili katika mechi hizo.
*Como wamepoteza mechi tatu kati ya nne walizocheza ugenini msimu huu.
Ubashiri wetu leo katika mechi hii ni Atalanta Kushinda
Angalia mkeka zaidi hapa chini
MATOKEO NDANI YA DAKIKA 90
⚽Fleetwood Town – Morecambe: 1 ❌
⚽Atalanta – Como: 1 Postponed
⚽FC Copenhagen – AaB: 1 ✅
⚽Bayern Munich - Hoffenheim: 1 ✅
⚽Valur - Stjarnan: 1X ✅
⚽Breidablik - IA: 1X ✅
JUU/CHINI [OVER/UNDER]
⚽Atalanta - Como: Over 1.5 Postponed
⚽AZ Alkmaar II - De Graafschap: Over 1.5 ✅
⚽Utrecht II - Cambuur: Over 1.5 ✅
⚽Sandviken - Degerfors: Over 1.5 ❌
⚽Breidablik - IA: Over 1.5 ✅
Post a Comment