Mkeka wa Leo 24 September 2024: Manchester City vs Watford Weka Dau Lako kwa Man City


Mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza, Manchester City, leo watacheza mechi ya raundi ya tatu ya Kombe la EFL wakiwakaribisha Watford katika dimba la Etihad.

Watford wanasafiri hadi Etihad chini ya Tom Cleverley, ambaye amewasaidia kuwa na mwanzo mzuri katika ligi wakishinda kila mechi kati ya tano za kwanza za kimashindano chini ya kiungo wa ikiwa ni pamoja na kuisambaratisha 5-0 MK Dons na kushinda 2-0 dhidi ya Plymouth Argyle katika raundi za awali za Kombe la EFL na kutinga raundi ya tatu, kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2021-22.

Hata hivyo, ushindi huo wa mabao mawili dhidi ya Plymouth mnamo Agosti 27 unawakilisha ushindi wa hivi karibuni zaidi wa Watford katika mazingira yoyote, kwani wameambulia pointi moja tu katika mechi tatu za ligi mwezi huu wakipata sare dhidi ya Coventry City na kupoteza kwa Sheffield United na Norwich City.

Kichapo cha 4 -1 Jumamosi dhidi ya Norwich kiliwaacha Watford nje ya sita bora na kwenda kuwatupa mpaka nafasi ya nane.

Mwenendo wa Watford katika mwezi Septemba na rekodi yao duni dhidi ya City vitawafanya kuwa na wakati mbaya katika mechi hii. Tangu mwaka 2017 walipopata sare ya 1-1, Watford wamepoteza kila mechi kati ya 15 zilizopita dhidi ya Man City huku wakiruhusu magoli 58, wastani wa magoli manne kwa kila mchezo.

Hata kukiwa na mabadiliko mengi katika kikosi cha kwanza cha City, bado tunatarajia kuwaona Watford wakipoteza mechi hii kwa magoli mengi huku Citizen wakisonga mbele hadi raundi ya nne.

Takwimu Muhimu:

*Manchester City wameshinda michezo yote 15 iliyopita dhidi ya Watford.

*Manchester City wamefunga magoli 26 katika mechi 5 zilizopita dhidi ya Watford.

*Watford hawajashinda mechi hata 1 katika 3 zilizopita

Ubashiri wetu leo katika mechi hii ni Manchester City Kushinda

Angalia mkeka zaidi hapa chini

MATOKEO NDANI YA DAKIKA 90

⚽Chelsea – Barrow: 1 ✅

Manchester City - Watford: 1  

Wycombe - Aston Villa: 2  

Real Madrid - Alaves: 1  

Walsall - Leicester: 2


JUU/CHINI [OVER/UNDER]

Manchester City - Watford: Over 2.5  

Chelsea - Barrow: Over 2.5  

Walsall - Leicester: Over 1.5 

Wycombe - Aston Villa: Over 1.5  

Real Madrid - Alaves: Over 1.5  


Post a Comment

Previous Post Next Post